Tulipokuwa shule tulisoma kuwa jua halizunguruki, ila dunia ndio huzunguka jua.
Jua huzunguka kwenye mhimili wake mara moja katika takriban siku 27. ... Kwa kuwa Jua ni mpira wa gesi/plasma, si lazima lizunguke kwa uthabiti kama sayari na miezi dhabiti. Kwa kweli, maeneo ya Ikweta ya Jua huzunguka kwa kasi (kuchukua siku 24 tu) kuliko maeneo ya polar (ambayo huzunguka mara moja kwa zaidi ya siku 30).
Ugunduzi huu ulikuwepo toka miaka ya 1600 AD na Mwanafizikia aliyefahamika kwa jina la Galileo Galilei. Ugunduzi huu unamaanisha kuwa Jua linafanya rotation na pia lina revolution kuzunguka centre of galaxy.
Galileo Galilei alikuwa mtaalamu wa fizikia, hisabati na astronomia kutoka nchini Italia. Anakumbukwa kwa sababu aliweka misingi ya mbinu mpya za sayansi zinazoendelea kutumika hadi leo. Wikipedia
Tarehe ya kuzaliwa: 15 Februari 1564
Mahali alikozaliwa: Pisa, Italia
Alikufa: 8 Januari 1642, Arcetri, Italia
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Ibada yavfubga ni katika ibadavanbazo hufanya nakaribia dini zote kubwa. Ibada hii imekuwaikikabiliw na naswlo mengi.
Soma Zaidi...