Post hii itakwenda kukufundisha sura katika Quran ambazo ni kinga dhidi ya Wachawi, uchawi na Masheitwani.
Mtume s.a.w amefundisha tusome sura hizikwa ajili ya kujikinga na mashetani, wachawi na husda.
1. Qul audhu birabi n nas. Hii ni surat an-Nas. Ni sura ya 114 katika mpangilio wa Quran kutokea al Baqarah.
2. Qul audhu birabil falaq. Hii ni surat al Falaq. Ni sura ya 113 katika mpangilio wa msahafu kutoka sura ya kwanza kiuandishi.
Sura mbili hizi kwa pamoja hujulikana kama almu'awidhatayn. Mtune s.a.w alizisoma sura hizi aliporogwa na akapona hapohapo. Na hii ni baada ya kuamrishwa na Allah azisome. Sura hizi utazisomamara tatu.
3. Qul huwa Llahu Ahad. Hii ni surat al Ikhlas. Ni sura ya 112 katikamangilio wa Quran kiuandishi. Sura hii pamoja na zikizotajwa hapo juu utasoma mara tatu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hadithi hii inakataza kuzusha mambo ambayo hayapo katika dini
Soma Zaidi...Nafasi ya elimu na mwenye elimu katika uislamu inaonkana katika maeneo yafuatayo: Kwanza, Elimu ndio takrima ya kwanza aliyokirimiwa mwanaadamu na Mola wake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya hadithi al Quds na Hadith an-Nabawiy
Soma Zaidi...