الحديث الثاني والثلاثون "لا ضرر ولا ضرار" عَنْ أَبىِ سَعيدٍ سَعْدِ بْن مَالكِ بْن سِنَانٍ الْخُدريِّ رضي الله عنه أَنَّ رَسُولَ اللّ?...
الحديث الثاني والثلاثون "لا ضرر ولا ضرار" عَنْ أَبىِ سَعيدٍ سَعْدِ بْن مَالكِ بْن سِنَانٍ الْخُدريِّ رضي الله عنه أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ :(( لاَ ضَرَرَ وَلاَ ضِرَارَ )) حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ وَالدَّارَقُطْنِيّ، وَغَيْرُهُمَا مُسْنَدًا. وَرَوَاهُ مَالِكٌ فِي "الْمُوَطَّإِ مُرْسَلاً عَنْ عَمْرِو بْنِ يَحْيَى عَنْ أَبِيهِ عَنْ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم مُرْسَلًا، فَأَسْقَطَ أَبَا سَعِيدٍ، وَلَهُ طُرُقٌ يُقَوِّي بَعْضُهَا بَعْضًا.
Kutoka kwa Abu Sa'iid Sa'ad Ibn Malik Ibn Sinaan Al-Khudhri رضي الله عنه ambaye alisema kuwa Mtumeصلى الله عليه وسلم kasema:
Kusiwe na kudhuriana wala kulipa dhara.
Imesimuliwa na Ibn Maajah, Daaraqutni na wengineo na ina kiwango cha 'Musnad'
Vile vile imesimuliwa na Malik katika (kitabu) Al-Muwatta kama 'Mursal'
Inayo mtiririko wa mapokezi kutoka kwa 'Amr Ibn Yahya, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Mtumeصلى الله عليه وسلم hata ukimuacha Abu Sa'id bado inayo mtiririko wa mapokezi unayoiunga mkono.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Zijuwe nyakati ambazo dua inakubaliwa kwa haraka zaidi. Zijuwe nyakati ambazo ukiomba dua hitakubaliwa.
Soma Zaidi...Anapotajwa Mwenyezi Mungu au wanapokumbushwa juu ya maamrisho na makatazo ya Mwenyezi Mungu, nyoyo zao hunyenyekea na kufuata kama walivyokumbushwa.
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha umuhimu wa nasaha katika dini
Soma Zaidi...