Posti hii inahusu zaidi sababu za kuziba kwa mrija wa kizazi ambayo kwa kitaalamu huitwa follapian tube, ni sababu ambazo ufanya mirija ya follapian tube kuziba.
Tunajua kuwa kazi kuu ya mrija wa kizazi ni sehemu ambapo mimba urutubishwa, kwa hiyo yai likitoka kwenye ovari linakuja kwenye mirija ya kizazi na uweza kurutubishwa hapo, lakini Kuna wakati mwingine mirija hii uziba na kusababisha ugumba kwa hiyo zifuatazo ni sababu za mirija ya uzazi kuziba.
1. Maambukizi ya wadudu mbalimbali, Kuna wakati mwingine maambukizi ya wadudu ambao Usababishwa na ngono zembe ambapo bakteria au virusi kuaribu sehemu za mirija ya uzazi na kusababisha mirija hiyo kuziba kwa hiyo matokeo ya kuziba kwa mirija usababisha mimba kushindwa kutungwa kwa hiyo tunapaswa kutumia kondomu wakati wa kujamiiana Ili kuepuka tatizo hili la maambukizi kwenye mrija wa kizazi.
3. Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi.
Hili ni tatizo utokea ambapo mimba badala ya kutungwa kwenye sehemu husika inatungwa nje ya mfuko wa uzazi kwa kitaalamu huitwa ectopic pregnancy, mimba hii ikitungwa huko inabidi mimba hiyo kufanyiwa upasuaji na kutolewa kwa hiyo Iwapo hizo mimba zimetungwa hivyo kwa mara nyingi usababisha kuziba kwa mirija ya uzazi.
4. Magonjwa mbalimbali ya tumbo kama vile apenicitis yaani apendex usababisha kuziba kwa mirija ya uzazi kwa sababu pengine upasuaji unaweza kwenda vibaya na kusababisha kusababisha na mishipa ya mirija ya uzazi kushindwa kufanya kazi yake na pia mimba hauwezi kutungwa.
5.pengine linaweza kuwa ni tatizo la kuzaliwa nalo,
Kuna watoto wengine kwa sababu ya mabadiliko ya mwili au homoni kushindwa kufanya kazi yake kuu mtoto anazaliwa akiwa aneziba mirija ya uzazi na kwa mtu kama huyu mimba haiwezekani kutungwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Maambukizi kwenye Njia ya Uzazi kwa kifupi hujulikana Kama PID.ni Maambukizi ya mfumo wa Uzazi yanayoathiri wanawake, Maambukizi haya kwa Kawaida huhusisha sehemu Kama shingo ya uzazi,nyuma ya mfuko wa Uzazi na mirija ya uzazi.
Soma Zaidi...Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb?
Soma Zaidi...Zipo siku maalumu ambazo mwanamke hupata mimba. Siku hizi huzoeleka kwa jina la siku hatari. Je ungependa kufahamu mengi kuhusu siku hatari, endelea na makala hii.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kupunguza homoni za kiume kwa akina dada.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutoka kwa mimba na dalili zake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba.
Soma Zaidi...