Jinsi ya kushusha homoni za kiume.

Posti hii inahusu zaidi njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kupunguza homoni za kiume kwa akina dada.

Jinsi ya kushusha homoni za kiume.

1. Kuna wakati mwingine watoto wa kike huwa na homoni za kiume zinakuwa nyingi hali ambayo Usababisha kuwepo kwa kuota ndevu kwa baadhi ya wasichana na kuwa na baadhi ya tabia za kiume kwa hiyo homoni hizi zikizidi kwa wasichana zinaweza kusababisha mambo mbalimbali ambayo ni pamoja na kukosa kuingia kwenye hedhi ili kuweza kushusha mbegu hizo tunapaswa kufanya yafuatayo.

 

2. Matumizi ya soya.

Kwa kutumia soya usaidia kushusha homoni za kiume kwa wasichana na kuwa kweye hali yao ya kawaida kwa hiyo ni vizuri kujua namna ya kutumia unaweza kutumia unga wake na kuweka kwenye maji na kunywa kikombe kimoja kwa asubuhi, kikombe kingine mchana na jioni, kwa matumizi ya soya homoni hizi nitaweza kushika na dada akawa kwenye hali yake ya kawaida.

 

3. Matumizi ya mnara ( mint)

Ni mmea mzuri kwa matumizi ya kushusha homoni za kiume kwa wasichana, mmea huu kwa Tanzania upatikana kwenye mikoa ya pwani kwa hiyo kwa wake wenye changamoto hii ni vizuri kabisa kuweza kutumia mmea huu.

 

4. Matumizi ya mizizi ya Arkisus.

Ni mizizi ambayo utumika ili kuweza kushusha homoni za kiume kwa wasichana, kwa matumizi ya mizizi hii,ni kuchimbua mizizi, kuosha vizuri, kutwanga na kuitengeneza ikawa kama unga na kuweka kwenye maji ya moto na kunywa Kikombe kimoja asubuhi, mchana jioni.

 

5. Tumia sana mafuta ya mimea kuliko mafuta ya wanyama.

Kwa matumizi mazuri ya mafuta ya mimea kama vile mawese, mafuta ya alizeti na Nazi mafuta haya ni mazuri pia usaidia katika kupunguza homoni za kiume kwa wasichana.

 

6. Punguza matumizi ya vyakula vya wanga.

Kwa kawaida na vyakula vya wanga siyo vizuri kwa watoto wa kike katika kuvitumia mara Kwa mara  mara nyingi watoto wa kike wanapaswa kutumia matunda zaidi, mboga za majani na samaki Ili kuweza kupunguza homoni za kiume na kuwepo za kawaida za kike.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/21/Thursday - 11:21:43 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1667


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-