Madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu.

Madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu.

1. Usababisha maambukizi kwanye figo, utokea pale ambapo figo ushindwa kuchuja kuchuja sumu hasa kama ni nyingi.

 

2. Usababisha mzio kwa watumiaji, pengine mtumiaji uwa na mepele kutokana na kutumia dawa hizo.

 

3. Usababisha madonda ya tumbo, hii utokea pale ambapo dawa hizi ukwangua Kuta za tumbo na kusababisha madonda ya tumbo

 

4. Usababisha maangaiko wakati wa kulala au kutopata usingi wakati wa usiku

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Author Tarehe 2021/11/24/Wednesday - 04:23:17 pm     Share On Facebook or WhatsApp Imesomwa mara 923

Post zifazofanana:-

Matatizo ya mapigo ya moyo
posti hii inazungumzia kuhusiana na matatizo ya mapigo ya moyo.Mapigo ya moyo ni hisia za kuwa na moyo wa haraka, unaodunda. Mapigo ya moyo yanaweza kuchochewa na mafadhaiko, mazoezi, dawa au, mara chache, hali ya kiafya. Ingawa mapigo ya moyo yanaweza kuwa ya kutisha, kwa kawaida hayana madhara. Katika hali nadra, mapigo ya moyo yanaweza kuwa dalili ya hali mbaya zaidi ya moyo, kama vile mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida (arrhythmia), ambayo inaweza kuhitaji matibabu. Soma Zaidi...

Ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha hii ni chanjo wanayopewa watoto wadogo chini ya miaka mitano kwa lengo la kuzuia kuharisha chanjo hiyo kwa kitaalamu huitwa Rotarix. Soma Zaidi...

Siku za kupata mimba
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba Soma Zaidi...

Namna ya kuchoma chanjo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa. Soma Zaidi...

Njia za kujilinda dhidi ya mapunye
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda dhidi ya mapunye Soma Zaidi...

Dalili za kupasuka kondo la nyuma (placenta)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kupasuka kwa kondo la nyuma (plasenta) (abruptio placentae) ni tatizo lisilo la kawaida lakini kubwa la ujauzito.Kondo la nyuma (Placenta) ni muundo ambao hukua ndani ya uterasi wakati wa ujauzito ili kumlisha mtoto anayekua.Iwapo plasenta itachubuka kutoka kwa ukuta wa ndani wa uterasi kabla ya kujifungua ama kwa kiasi au kabisa inajulikana kama mgawanyiko wa plasenta. ya oksijeni na virutubisho na kusababisha kutokwa na damu nyingi kwa mama. Kupasuka kwa plasenta mara nyingi hutokea ghafla.Ikiachwa bila kutibiwa, mgawanyiko wa kondo la nyuma huwaweka mama na mtoto katika hatari. Soma Zaidi...

Namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi. Soma Zaidi...

Aina kuu tatu za mvunjiko wa viuno vya mwilini na mifupa
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za mvunjiko ni Aina za kuvunjika ambazo uwakumba watu mbalimbali na watu ushindwa kutambua hizi Aina tatu za mvunjiko, zifuatazo ni Aina za mvunjiko. Soma Zaidi...

Madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, ni madhara ambayo yanaweza kutokea iwapo maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo hayatatibiwa kwa wakati. Soma Zaidi...

Malengo ya kuwahudumia watoto chini ya miaka mitano
Posti hii inahusu malengo ya kuwahudumia watoto chini ya miaka mitano, huduma hii ilianzishwa na WHO na UNICEF mwaka 1990 ili kuweza kuzuia Magonjwa na kuwapatia watoto lishe pamoja na hayo walikuwa na malengo yafuatayo. Soma Zaidi...

Dalili za jipu la jino.
Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti. Soma Zaidi...

Imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba
Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba. Soma Zaidi...