Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
VYAKULA VYA KUOBGEZA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo la nguvu za kiume, limekuwa likisumbuwa vijana wengi sana, na hii ni kutokana na namna ambavyo vijana wengi wanaishi. Miongoni mwa matendo na tabia za vijana huwenda ikawa ni sababu tosha ya kuwa na tatizo hili. Yapo mabo mengi sana yanaathiri nguvu za kiume. Pia unaweza kubadili utaratibu wa maisha unaoishi na mambo kiu wasa baada ya muda.
Je na wewe ni mwenye kukabiliwa na tatizo la nguvu za kiume. Je unaishia bao moja kisha basi, ama unacheza ndani ya dakika 3 ama hufiki kisha basi? Makala hii ni kwa ajili yako. Hapa yutakwenda kunagalia vyakula vizuri kwa kuongeza nguvu ya kuime. Pia tutaona maadui zako wanaoweza kuathiri nguvu za kiume. Kama utakuwa na maoni ama maswali zaidi, tuwachie hapoo chini:-
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti huu inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya magonjwa, tunajua wazi kuwa ugonjwa ni hali ya kutokuwa kawaida kwa ogani mbalimbali kwenye mwili na kusababisha mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Je unazijuwa faida za kuwa na vitamini E mwilini mwako.Unahani utapata matatizo yapi ya kiafya endapo utakuwa na upungufu wa vitamini E mwilini? Makala hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya fati na mafuta
Soma Zaidi...Unapokuwa na kizunguzungu unashindwa kuudhibiti mwili wako, unaweza kuanguka kabisa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa zifuatazo.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...