TAHADHARI KWA WASOMAJI WA QURAN Wasomaji wa qurani wawe na tahadhari katika usomaji wao.
TAHADHARI KWA WASOMAJI WA QURAN
Wasomaji wa qurani wawe na tahadhari katika usomaji wao.
TAHADHARI KWA WASOMAJI WA QURANI
Mtume ameamrisha watu waihifadhi qurani. na sihivyo tuu Mtu aliyehifadhi qurani ajitahidi anafanya jitihada isije akaisahau. Katika hadithi sahihi Mtume anazungumzia kuwa qurani itakimbia kama inavyokimbia kamba ya ngamia.
Kusahau qurani baada ya kuihifadhi ni katika madhambi. Hivyo wasomaji wa qurani tujitahidini kuihifadhi na kuhakikisha pale tulipopahifadhi tunapashikilia pasiondoke. Amesimulia Anas ibn Maliki kuwa Mtume amesema โnilioneshwa malipo ya uma wangu (nikaona kuna malipo ) mpaka kwenye uchafu anaouondoa mtu msikitini. Na nilioneshwa madhambi ya uma wangu, basi sikuona dhambi kubwa kuliko sura katika qurani au aya aliyopewa mtu kisha akaisahauโ (amepokea Abuu Dauw, Tirmidh na Ibn Majah).
Umeionaje Makala hii.. ?
FADHILA ZA BAADHI YA SURA Umuhimu na ubora wa baadhi ya sura na aya.
Soma Zaidi...Kujifunza tajwid ni katika mambo muhimu wakati wa kusoma Quran
Soma Zaidi...Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
Soma Zaidi...Surat Al qariah, ni moja katika sura zilizochuka miaka ya mwanzoni mwa utume.
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha fadhila na faida za kusoma surat al Imran
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kanuni za tajwid katika kusoma bismillah au basmalah.
Soma Zaidi...