Hapa utajifunza kanuni za tajwid katika kusoma bismillah au basmalah.
Hukumu ya Basmallah na isti'adha
KUSOMA BISMILLAH A AUDHUBILLAH:
bismilahir-rahmanir-rahiym tamko hili hujulikana kama basmalah na a’udhubillahi minas-shaytwaanir-rajiym hujlikana kma isti’adha matamo yote haa yana huumu zake za usomaji mble ya maulamaa wa ajwid pa ikumbukwe kuwa llah amesema kwa “..pindi unposoma urani asi taka hifadha ka Allah (akuline) kutoana na sheani aliembali narehma za Allah” yaani anza klea istiadha
Hukum ya isti’adha:
basi pindi utakapoaka kusoma quran na ukatak kuanza na isti’adha mwanzoi mwa sura a hapa utaakiwa kuleta basmala abla ya kianza sur. Hivyobasi kutauwa kumekutana isti’adha, asmala na sra unayotakakusoma. Hapa kaika kusma kwake kuna hukumu nne kama ifuatavyo;-
1.kukata zote; yaani kusoma kila mja kivake kwa kusimama kati a vitau hivi.yaani utasoma isti’adha isha utasiama, halafu utasomabasmalah kisha uasimama n baaday utaanza sra.
2.Kuunga zote yaani utunganisha isti’adha, basmalahna surah bila ya kusmama
3.Kuungabasmalah na sra; yani utasoma isti’adhakisha utasimama halafu utaoma basmalah na sura kwa kuunganisha vbila ya kuimama.
4.Kuuga isti’adha a basmala; yaani tasoma isi’aha na basala kwa pamoja kisha unasimama kishunasoma sura.
Hukumu ya basmalah kati a sura mbii;
Iktokea umemaliza sura moja na untaka kuigia sura ingine basi hapa kua huku zifuatazo;-
1.Uzikata zte; yani utasomamwisho wa sura, kiha unasoma basmalah kisha unaoma sura inyofata.
2.Kuiunga zote; hapautaunga mwshoni mwasura kisha unsoma basalah kisa unaanza usoma sura mpy bila ya kupunzika
3.Kuung basmala na mwanzni mwa sura; yaani uaaliza sura kish utasimama, kisha utasoma asmalah pamoja nakuanza sua mpya bila ya kusimama.
Kanunuzinazofungamana a elim ya tajweed;
1.ujuzi wakujuwa matamshi ya erufi n yaapotamkiwa na yanavyotamka.
2.Ujuzi wa kjuwa taia na sif za herufi
3.Ujuzi w kujuwa amna ambavyo erufi zinabadilika kulingan na mpangilio wa manen
4.Kuufania mazoeziulimi pmoja na kuudia ruda
Umeionaje Makala hii.. ?
Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 19. Hapa utajifunza maisha ya Mtume kabla ya utume.
Soma Zaidi...Sura hii ni katika sura za mwisho kushuka, huwendakuwa ndio ya mwisho kabisa. Masahaba waliamini kuwa sura hii imetabiri kifo cha Mtume S.A.W
Soma Zaidi...Sura hii iliposhuka ilikuwa kama imekuja kuwasuta Wanafiki waliokuwa wakizungumzahabari za uongo kuhusu jeshi alilolituma Mtume wa Allah.
Soma Zaidi...KUANGAMIZWA KWA JESHI LA TEMBOTukio la pili ni lile tukio la tembo, na ilikuwa hivi:- Kiongozi mmoja wa kiyemeni aliyetambulika kwa jina la Abrah aliona waarabu kutoka maeneo mbalimbali wanafunga misafara kuelekea Makkah kwa lengo la kwenda kuhiji.
Soma Zaidi...Mada zipo katika makundi mawili ambayo ni madda far-iy na mdada twab-iy.
Soma Zaidi...