mtu anapo anza tumia arv kwa mara ya Kwanza inaweza mletea shda Zaid na kutetereka afya

mtu anapo anza tumia arv kwa mara ya Kwanza inaweza mletea shda Zaid na kutetereka afya

Samahn naomba niulize iv mtu anapo anza tumia arv kwa mara ya Kwanza inaweza mletea shda Zaid na kutetereka afya endapo kama katambua kapata maambukizi ya vvu mapema kabla havijazoofisha mwili



Namba ya swali 046

Kuna aina zaidi ya 40 za dawa hizo, kulingana na afya ya mtu, na stage. Nchi nyingi zimeruhusi kuanza dozi napema hata ndani ya miezi 6. Hakuna madhara kiafya kama itatolewa kwa umakini. Hata hivyo naadhi ya maeneo wanapendekeza kuchelewa kwa kuhofia mlundikizsno mkubwa wa dumu za dawa kama utaanza napema



Namba ya swali 046

Kwahiyo endapo kama mtu kapata maambukiz ndan ya wiki 4 anaweza anza tumia dawa bila hata afya yake kutetereshwa na virusi hivyo au asubiri adi afya yake itapo tetereka?



Namba ya swali 046

Kuanza dawa mapema ni vizuri maana kutamfanya virusi visihame kufikia hatua ya tatu. Hata hivyo wiki nne hata virusi havijaanza kuonejana jwrnye vipomo,



Namba ya swali 046

Okay na je afya itabaki kua imara au itayumba kwasabu ndo atakua kaanza kutumia arv kwa mara ya kwanza



Namba ya swali 046

Afya itaendelea kuwa imara. Ijapokuwa kabla dawa hajazizoea kuna mabadiliko anaweza kuyaona ila nibya muda na sinkwa qatu wote. Kwa mfano kujisabhanu ya kula na mengineyo. Ila baada ya kuzizoea itakuwanni kawaida, na afya yake itakuwa sana na watu wengine.



Namba ya swali 046

Okay asante nimekuelewa...



Namba ya swali 046

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 105

Post zifazofanana:-

UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

dondoo 100 za Afya
Basi tambua haya;- 61. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...

Vitabu
VITABU: Karibu kwenye Maktaba yetu ya vitabu, hapa utaweza kusoma na kudownload vitabu vyetu bure. Soma Zaidi...

TYPES OF FOOD
THIS IS WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT FOOD. Soma Zaidi...

Mtazamo na Msimamo wa Uislamu Juu ya Kudhibiti Uzaz (uzazi wa mpango) na hukumu yake
Soma Zaidi...

TAHARUKI YA MFALME WA BAGHADANI
Soma Zaidi...

magonjwa na lishe
DARASA LA AFYA MAGOJWA YANAYOHUSIANA NA VYAKULA 1. Soma Zaidi...

uran na sayansi
3; Mchujo wa maji dhaliliKatika aya nyingine tunakuja kupata funzo kuwa maji aliyoumbiwa mwanadamu licha yakuwa na sifa zilizotajwa katika kurasa zilizopita ila pia maji haya yanasifa kuwa ni madhalilina pia na yamechujwa kama tunavyoelezwa katika quran?? Soma Zaidi...

IDGHAAM KATIKA LAAM
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa Soma Zaidi...

quran na sayansi
YALIYOMONENO LA AWALI1. Soma Zaidi...

KWA NINI MBU HAWEZI KUAMBUKIZA HIV (UKIMWI)
Tumekusha kuona na kujua kuwa mbu anaweza kuambukiza maradhi mengi na ya virusi kama zika. Soma Zaidi...