Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
HTTP cookie ni kifaili kidogo chenye data ambacho huhifadhiwa kwenye browser ya mtumiaji. Cookie hutumika kwa kazi nyingi kama kufanya session, kufuatilia mtumiaji ama kutumia taarifa za mtumiaji ili kuboresha matumizi yake.
Kuna http header mbili ambazo zinahusiana na cookie ambazo ni:-
Set-Cookie Header
Cookie Header
Set-Cookie Header
Hii hutumika na server kutuma taarifa kwenye browser ya mtumiajiili k set cookie mpya yaani kutengeneza cookie.
Jinsi ya kutengeneza cookie
Ili kutengeneza cookie tutatumia function ya setcookie() ambapo itakuwa na jina la cookie - name kisha thamani ya cookie - value na itafuatiwa na attribute za cookie ambazo ni:-
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
Soma Zaidi...Katika somo hili uttakwend akujifunz ajinsi ambavyo utaweza kutengeneza simple ORM yakwako mwenyewe
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static method na inavtotumika kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kubadili json data na kuwaphp array ama php object. Kwa ufupi tunakwend aku decode json data kuwa phparray amaobject
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye database kw akutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye database. Kisha utajifunza jinsi ya kulisoma faili hilo kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Maana ya JSON na sheria za kuandika faili la json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...