katika somo hili utajfunza kukusanya taarifa za mafaili. kisha ku upload hayo mafaili. kisha kuandika hizo taarifa za mafaii kwenye database
Katika somo hili tutakwenda kuona jinasi ya ku upload mafaili kwenye database pia ku upload taarifa za faili kwenye database. Katika somo hili pia utajifunza namna ya ku retrive taarifa za mafaili kwenye database pia kufuta faili.
YALIYOMO:-
Ku upload taarifa za faili
Ku upload faili
Ku retrive faili na taarifa zake
Ku futa faili kwenye database
Kufuta faili kwenye folda
Ku download faili
Njia nzuri ya kuhifadhi mafaili
Katika somo hili tutaendelea kutumia code zetu kutoka katika somo lililotangulia. Japo tutazikata ili kupunguza uwingi wa code ambazo hazitatumika.
Ku upload taarifa za faili:
Ku upload faili kwenye database kuna namna kuu mbili. Namna ya kwanza ni kuhifadhi taaifa za faili kwenye database. Yaani ipi hivi failu linakuwa kwenye storage ama server wakati wa ku upload, kisha kwenye database unaweza taarifa za hilo faili. Hii itasaidia kujuwa wapi faili lipo ili kuweza kulitumia unapolitaka.
Njia hii ni kama ambayo imetangulia. Ni kuwa una upload faili kwenye folda unalotaka kwenye server kisha taarifa zake ndio huenda kwenye database. Kwa kutumia taarifa hizo inakuwa rahisi kulifunguwa faili hilo.
Ni matumaini yangu kuwa umeshapitia mafunzo yetu ya php level 2. Ambapo utakuwa unatambuwa jinsi ya ku connect database, pia jinsi ya kuingiza taarifa kwenye database. Hivyo basi na hapa tunatumia namna hiyohiyo.
Kwa kuwa taarifa za faili ketu tunazo kwenye variable hivyo basi tutatumia hizo variable kwenye ku insert kwenye database. Taarifa ambazo tunakwenda kuingiza ni jina la faili, aina ya faili na ukubwa wake. Hivyo variable zake zitaluwa hizi:-
//kujuwa jina la faili
$fileName = $_FILES["myFile"]["name"];
// kujuwa ukiubwa wa faili
$fileSize = $_FILES["myFile"]["size"];
//kujuwa aina ya faili
$fileType = $_FILES["myFile"]["type"];
Sasa kinachofuwata ni kutengeneza table kwenye database. Katika mfano wa hapo chini nimetumia jina la database test na table files Table yetu tutaiita faili ambapo inatakuwa na column 4, ya kwanza ni ya id ambapo type ni int, itabidi iwe AI yaani auto increment, ya pili ni name ambapo type ni string, na length unaweza weka 255, ya tatu ni size ambapo type itakuwa int, na ya mwisho ni type na aina yake ni string.
Sasa kwa kuwa tayari table tunayo kilichobaki ni kuingiza taarifa hizo kwenye table yetu. KUinsert taarifa kwenye databse utatumia insert into files (name, size, type) VALUES (hapa utaweka variable za hizo data.). Code nzima itaonekana hivi
$sql="INSERT INTO medias (name, size, type) VALUES ('$fileName', '$fileSize', '$tyleType')";
Kama utakuwa umeshafahamu jinsi hizo code zinavtyofanya kazi, basi kinachofata ni kuzichanganya na code zilizotangulia:
<html>
<head>
<title>upload</title>
<meta name="viewport" content="width=device-width=100%">
</head>
<body>
<form method="post" action="#" enctype="multipart/form-data">
<label>Select File:</label>
<input type="file" name="myFile">
<input type="submit" name="submit" value="Upload">
</form>
<?php if (isset($_POST["submit"])) {
//folda la kuhifadhia
$folda = "upload/";
//kujuwa jina la faili
$fileName = $_FILES["myFile"]["name"];
// kujuwa ukiubwa wa faili
$fileSize = $_FILES["myFile"]["size"];
//kujuwa aina ya faili
$fileType = $_FILES["myFile"]["type"];
//kujuwa mahala lilipo link yake
$fileLocation = $_FILES["myFile"]["tmp_name"];
//Kujuwa error code
$errorCode = $_FILES["myFile"]["error"];
//Kujuwa file extension
$fileextension = pathinfo($fileName, PATHINFO_EXTENSION);
//fomati zinazotakiwa
$format = ["jpg", "jpeg", "gif", "pdf"];
/* //kuonyesha taarifa kwenye browser
echo "Filename: " . $fileName . "<br>";
echo "Type : " . $fileType . "<br>";
echo "Size : " . $fileSize . "<br>";
echo "Temp name: " . $fileLocation . "<br>";
echo "Error : " . $errorCode . "<br>";
echo "Extension:" . $fileextension . "<br>";
*/
//kuangalia kama faili lipo
if (
file_exists(
$folda .
date("d" . "-" . "m" . "-" . "y" . "-") .
str_replace(" ", "-", $fileName)
)
) {
echo "sorry file exist". "<br>";
}
// dhibiti ukubwa wa faili
if ($_FILES["myFile"]["size"] > 5000000) {
echo "file is too large." . "<br>";
}
//if (!in_array($fileextension, $format)){echo 'file is not allowed';
//}
// mafaili yanayotakiwa
if (
$fileextension != "jpg" &&
$fileextension != "png" &&
$fileextension != "jpeg" &&
$fileextension != "gif" &&
$fileextension != "pdf"
) {
echo "file is not allowed";
} else {
if (
move_uploaded_file(
$fileLocation,
$folda .
date("d" . "-" . "m" . "-" . "y" . "-") .
str_replace(" ", "-", $fileName)
)
) {
echo "successful";
} else {
echo "unsuccessful";
}
}
echo "<br><br>";
//$servername = "localhost";
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password ="";
$dbname = "test";
// Kufanya connection
$conn=mysqli_connect($servername, $username,$password,$dbname);
// kuangalia connection
if(!$conn){die("Connection failed: ".mysqli_connect_error());
}
$sql="INSERT INTO files (name, size, type) VALUES ('$fileName', '$fileSize', '$fileType')";
if(mysqli_query($conn, $sql)){echo "faili limepakiwa";
}else{
echo "Kuna tatizo".mysqli_error($conn);
}mysqli_close($conn);
}
echo "<br><br>";
?>
Kama umefanikiwa ku upload basi kwenye databse yako mafaili yataweza kuonekana kama hivi:-
Mpaka kufikia hapo tumeweza ku upload taarifa za faili kwen ye database. Unaweza ku upload taarifa zaidi na zaidi kadiri unavyohitaji. Sasa kwa kutumia taarifa hizo unaweza kulifikia faili ambalo lipo kwenye folda.
Ku upload faili moja kwa moja kwenda kwenye da">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku update na kufuta data kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya traits kwenye OOP. hii itakusaidia ku solve baadhi ya changamoto zinazotokana na inheritance
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na jinsi zinavyoweza kufanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu access modifier ili kuweza kuthibiti nama ya kuzitumia properties kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa ajili ya kuchuja code zilizo hatari kwenye PHP file
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisniya kutuma email kwa kutumia PHPMailer kwenye project ya PHP. Katika somo hili tutakwend akutuma email kwa kutumia localhost.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...