Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo zinaweza kujitokeza na zikaonesha kwamba mbegu za kiume ni dhaifu au ni chache.
Dalili za kuonesha kuwa mbegu za kiume ni dhaifu au ni chache.
1. Mbegu kuwa nyepesi.
Kwa kawaida mbegu za kiume uwa ni nzito, ikitokea mbegu za kiume zikawa laini ni ishara wazi kwamba hizo mbegu ni dhaifu na zina matatizo.
2. Mbegu hizi haziwezi kutungisha mimba.
Kwa mara nyingine wanawake wanashindwa kubeba mimba na sio shida yao ila ni kwa sababu ya mbegu za kiume kuwa laini na nyepesi.
3. Mbegu hizi pia haziwezi kuogelea
Kwa wakati mwingine mbegu hizo huwa zinashindwa kuogelea ili kutungisha mimba kwa hiyo hata kama mama yuko kwenye wakati wa kubeba mimba hawezi kwa sababu mbegu haziwezi kuogelea.
4. Na mbegu hizo kwa kawaida utoka chache wakati wa kujamiiana kwa kawaida ili mimba iweze kutungwa sifa ya kwanza ni kwamba mbegu zinapaswa kutoka angalau 3mls kwa hiyo zikiwa chini yake ni shida.
5. Hizo mbegu huwa na rangi nyeupe kwa kawaida rangi ya mbegu ni Kijifu ukiona rangi ya mbegu ni nyeupe jua kubwa hizo mbegu ni dhaifu.
6.kwa hiyo baada ya kujua hayo tunapaswa kutumia matibabu ili kuweza kuwa na mbegu za kufaa na zinazoweza kutungisha mimba kwa hiyo wachumba au wazazi wakikaa kwa mwaka mmoja wakiwa wanajadiliana bila kupata mtoto wanapaswa kutumia vipimo ili kuangalia mbegu zikoje
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Maumivu ya tumbo ni moja katika dalili za ujauzito. Maumivu wanawake wengi hushindwa kujuwa kuwa ni ujauzito ama laa. Na hii ni kwa sababu kwa wanawake wengi maumivu ya tumbo ama changu ni jalivya kawaida kwao.
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukufundisha baadhi ya dalili za uchungu kwa mama mjamzito.
Soma Zaidi...Ni ngumu ila nitakujuza namna ya kuitambuwa mimba ya siku moja hadi 3, mimba ya wiki moja na mimba ya miezi mitatu kwa dalili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo muhimu kwa wanawake kabla ya kubeba mimba,Ni mambo ya kuzingatia ili mama akija kubeba mimba awe mzima kimwili, ki afya na kisaikolojia na hivyo hivyo Mtoto atakayezaliwa atakuwa salama.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mwanamke mwenye HIV akiwa mjamzito ama anaenyonyesha
Soma Zaidi...Vyakula hivi hapasi kuvila mwanamke mwenye ujauzito kwa kiasi kikubwa, hasa yule mwenye mimba chaga
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya mwanamke kushindwa kupata ujauzito, kwa sababu kuna sababu nyingi ambazo Usababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...