Posti hii inahusu zaidi tatizo la kupungukiwa damu mwilini, ni ugonjwa unaotokana sana hasa kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano ingawa na kwa watu wazima.
Sababu za upungufu wa damu mwilini.
Hili ni tatizo ambalo ushambulia sana watoto wadogo chini ya umri wa miaka mitano na watu wazima, zifuatazo ni sababu za upungufu wa damu
1. Kiwango kidogo Cha damu ambacho uzalishwa na mifupa inayoitwa kwa kitaalamu bone marrow,hii ni mifupa ambapo chembechembe ndogo za damu uzalishwa ambazo kwa kitaalamu huitwa (red blood cell) ushindwa kuzalisha vizuri hizi seli kwa sababu ya maambukizi kwenye mifupa hiyo.
2. Kuharibika kwa kiwango kikubwa Cha seli kabla ya mda wake. Upungufu wa damu utokea kwa sababu ya kuharibika kwa seli kabla ya mda wake, hizi seli zinazobeba damu kwenye mwili huaribika kabla ya mda wake kutimia inawezekana kuwa ni maambukizi kama vile malaria, pneumonia ,Homa kali haya magonjwa yote usababisha seli kufa kabla ya mda wake.
3. Damu kushindwa kuganda pale mtu anapopata ajali utokea pale ambapo mtu akipata ajali yoyote Damu uendelea kutoka na kusababisha seli nyingi kutoka kwenye mzunguko wake na damu upungua, huu ni ugonjwa ambao hawapaswi kuendelea kuwepo kwa sababu unatibika sana hospitalini na watu wanapona
4. Wakati mwingine tatizo la kuishiwa damu ni kutokana na ugonjwa wa kuridhi ambapo seli huwa tofauti na za wengine yaan kwa kitaalamu huitwa sickle cell huu ni ugonjwa wa kuridhi ambapo seli nyekundu za damu huwa tofauti na nyingine hali hii usababisha hewa kushindwa kupita kwenye seli na damu upungua, ugonjwa huu ni hatari usipotibiwa unaweza kuleta madhara makubwa zaidi na hata kifo kwa hiyo tuwe na tahadhari kwa watu wenye ugonjwa huu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekazwa na misuli
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kuadhiri Uponyaji wa jeraha.jeraha huleta maumivu makali sana, vilevile Uvimbe, kutoa usaha. Pia jeraha hutofautiana katika kupona kwa mtu mzima na Mtoto.
Soma Zaidi...Hii ni hali inayotokea ambapo wili unakuwa na joto la juu sana tofauti na kawaida.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa vijana
Soma Zaidi...Maumivu ya shingo ni malalamiko ya kawaida. Misuli ya shingo inaweza kuchujwa kutokana na mkao mbaya - iwe inaegemea kwenye kompyuta yako kazini au kuwinda benchi yako ya kazi nyumbani.
Soma Zaidi...