Utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
.UTARATIBU WA LISHE KWA WAGONJWAWagonjwa. Wagonjwa wapewe vyakula vyenye viinilishe vyote ili kuwezesha miili yao kuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na maradhi Hasa hasa vitamini kwa wingi Matunda na mboga za majani ni muhimu kwa wagonjwa iliwaweze kupata madini na vitamini muhimu kwa ajili ya miili yao. Wagonjwa pia wapewe maji ya kutosha ili kuwezesha miili yao kufanya kazi vizuri.Matunda yatamuwezesha pia kupambana na maradhi au kupunguza uwezekano wa kuendelea kuuguwa. Wagonjwa wapate muda wa kutosha kwa ajili ya kulala na wafanye mazoezi kulingana na hali zao.Pia kuna vyakula maalumu vinapendelewa kwa kulingana na aina ya ugonjwa alionao. Muone daktari akushauri vyakula vya kuvila kulingana na ugojwa ulonao.
?
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 ai web app ๐2 Simulizi za Hadithi Audio ๐3 kitabu cha Simulizi ๐4 Bongolite - Game zone - Play free game ๐5 web hosting ๐6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENGโATWA NA NYUKI
Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu fati na mafuta na kazi zake mwilini
Hata kama mtu atakuambbia usile vyakula yenye mafuta bado itahitajika kula tu. Kuna mafuta na fati je unajuwa utofauti wao. Ni zipi kazi zao mwilini? Endelea na makala hii
Soma Zaidi...Njia za kufuata unapohudumia watu waliopata ajali
Post hii inahusu zaidi namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu waliopata ajali. Ajali ni tukio lisilotarajiwa ambalo kinaweza kumkuta mtu yeyote, tunapotoa huduma ya kwanza tnazingatia rangi ambazo huwakilisha jinsi watu walivyoumia.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEZIMIA (CARDIOPULMONARYRESUSCITATION) AU CPR
Kuzimia ni hali ya kupoteza fahamu ambako kunaendana na kutokuhema.
Soma Zaidi...Ntajilinda vipi na magonjwa ya meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno
Soma Zaidi...Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...