Namna ya kumtunza mtoto aliyezaliwa
Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa.
Njia za kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa
1. Mtoto anapozaliwa tu kitu Cha kwanza kabisa ni kumfanya usafi kuhakikisha kuwa ametolewa maji ambayo aliyavuta puani,masikioni na kumsafisha kwa ujumla.
2. Kumpatia joto la kutosha, tujue kuwa mtoto amekuja katika ulimwengu mwingine anaposwa kukunjwa kwenye nguo zitakazompatia joto la kutosha,
3. Kuhakikisha mtoto amepata chanjo zinazohitajika kama vile chanjo ya surua, chanjo ya inni na chanjo nyingine so, kama ana maambukizi anapaswa kupewa Nevirapine Ili kuzuia kinga ya mwili isishuke
4. Kuangalia kama ana maambukizi yoyote kama vile malaria,mafia na vitu vingine ambavyo si kawaida kwa mtoto vikitokea vinapaswa kutibiwa mara Moja,
5. Kuangalia kama mtoto amezaliwa na kilo kidogo au kubwa zaidi, kama ni kidogo atawekwa kwenye uangalizi zaidi kama ni kilo nyingi pia ataendelea kuangalia kwa zaidi akiwa hospitalini
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 web hosting 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Njia za kuondoa fangasi sehemu za siri
Makala hii itakujuza baadhi ya njia utakaoweza kuzifuata ili kukabiliana na fangasi sehemu za siri kwa wanaume
Soma Zaidi...Uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.
Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Madhara ya kupungua kwa homoni ya projestron
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa homoni ya projestron ikipungua mwilini na pia kuweza kutambua dalili za kupungua kwa homoni hii ya progesterone.
Soma Zaidi...Faida za uzazi wa mpango kwa jamii
Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na jamii nayo inapata faida kwa hiyo zifuatazo ni faida za uzazi wa mpango kwa jamii.
Soma Zaidi...Faida na hasara za kutumia kondomu kama njia ya uzazi wa mpango
Kondomu ni mpira ambao uwekwa kwenye uke au uume kwa ajili ya kuzuia mimba wakati wa kujamiiana
Soma Zaidi...Sababu za mimba ya miezi 4-6 kutoka.
Posti hii inahusu zaidi sababu za mimba ya miezi kuanzia minne mpaka sita kutoka , Kuna kipindi mimba kuanzia miezi mimne mpaka sita utoka kwa sababu mbalimbali.
Soma Zaidi...