mim mjamzito lakini maumwa kiuno nakuacha nakuvuta ukeni wiki ya 39 na siku4

mim mjamzito lakini maumwa kiuno nakuacha nakuvuta ukeni wiki ya 39 na siku4

mim mjamzito lakini maumwa kiuno nakuacha nakuvuta ukeni wiki ya 39 na siku4

Habari mim mjamzito lakini maumwa kiuno nakuacha nakuvuta ukeni wiki ya 39 na siku4



Namba ya swali 032

Hiyo kawaida kwa miezi yako



Namba ya swali 032

Kama.maumivu ni makali sana, kwa muda mrefu kiasi cha kishindwa kufanya kazi za kawaida ni vyema kumuona daktari. Lakini maumivu ya kiuno na kama ulivyosema ni kawaida



Namba ya swali 032

Ahsante



Namba ya swali 032

ok



Namba ya swali 032

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 4938

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 web hosting     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Kazi za homoni katika Mzunguko hedhi.

Post hii inahusu zaidi kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi, katika kipindi hiki kuna homoni mbalimbali ambazo ufanya kazi kama tutakavyoona.

Soma Zaidi...
Madhara ya mwili kushindwa kutengeneza projestron ya kutosha

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo mtu anaweza kupata ikiwa mwili utaeweza kutengeneza progesterone ya kutosha.

Soma Zaidi...
Dalili za mimba ya siku 4

Unaweza kutaka kujuwa je naweza kupata dalili za mimba baada ya siku nne toka ujauzito kutungwa? ama baada ya siku nne toka kushiriki tendo la ndoa. Makala hii itakwenda kujibu maswali haya na mengineyo.

Soma Zaidi...
Njia za kupunguza tatizo la kutanuka kwa tezi dume.

Posti hii inahusu zaidi njia ambazo tunaweza kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili la kutanuka kwa tezi dume, kwa hiyo tunaweza kutumia njia zifuatazo ili kuweza kupunguza tatizo hili kwenye jamii kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike

Katika jamii nyingi, kuna imani nyingi zilizojikita kwenye mila na desturi kuhusu jinsi ya kutambua jinsia ya mtoto tumboni kabla ya kuzaliwa. Ingawa hamu ya kutaka kujua jinsia ni kubwa kwa wazazi wengi, ni muhimu kufahamu kuwa dalili nyingi zinazotajwa mtaani hazina msingi wowote wa kisayansi. Makala hii inaangazia imani hizi maarufu na njia sahihi za kisayansi za kujua jinsia.

Soma Zaidi...
Mambo ya kuzingatia kwa mama ili apate huduma endelevu.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.

Soma Zaidi...