Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass
Changamoto walio nayo wengi miongoni mwa wanafunzi wa Tehama katika hili grup ni kuwa wanakosa uvumilivu na msimamo katika kusoma.
Mfano:
Anatokea mtu anataka kujifujza utengenezaji wa App. Ataanza Dart somo la kwanza hadi la 3. Huyoo anakwenda kwenye flutter.
Ama wanafunzi wa PHP hata hajaelewa vizuri concept za PHP huyoo anataka kutumia Laravel.
Grup hili linatoa chance, kwa ambazo hawajafika vyuoni wanapata Fursa ya kupata ujuzi kwa gharama nafuu. Ila wengi wa wanafunzi wanataka ndani ya wiki awe mtaalamu wa kutengeneza App ama website.
Hizi taaluma zinaendana na misingi kwanza. Kabla ya mugusa framework Anza kwanza kujuwa language yenyewe.
Mfano:
1. Kabla hujagusa node Js, ama react kwanza ujuwe JavaScript.
2. Kabla ya kugusa flutter kwanza ujuwe dart
3. Kabla ya Django kwanza ujuwe python
4. Kabla ya laravel ama codegnitor kwanza ujuwe PHP
Namna kama hii utanitumia kwa taaluma nyinginezo.
Changamoto nyingine ni kutaka mafanikio ya haraka. Unakuta ndio kwanza blog Ina wiki Moja tayari inawekwa ads. Wengine wakidhani inapokuwa online tu basi mapesa hayo yatakuwa yanaingia, mwisho WA siku anakuwa disappointed baada ya kuona ugumu uliopo.
By
Bongoclass
www.bongoclass.com
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hapa nitakwenda kukueleza njia ambazo naweza kuzituia ili kujifunza programming kwa urahisi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu maana ya kompyuta na tofauti yake kati ya kompyuta na simu jana.
Soma Zaidi...Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App
Soma Zaidi...Watu wangi wnekuwa wakitumia meme, ila bila ya kujuwa nini hasa hizo meme. Na hasa Zina matumizi gani
Soma Zaidi...Umeshawahi kujiuliza Nini hasa tofauti kati ya deep web, surface web na dark web.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.
Soma Zaidi...Moja katika changamoto iliyowahi kusumbuwa dunia kutokana na maendeleo ya tehama duniani.
Soma Zaidi...hapa ninakuletea vitu vya kuangalia unapotaka kununua kompyuta kwa ajili ya kufanyia programming. Ama kutengeneza software mbalimbali.
Soma Zaidi...Kama Bado unajiuliza u some language IPO ya kompyuta ili uweze kutengeneza App basi post hii itakusaidia.
Soma Zaidi...Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama Bing. Bsi project ya IndexNow imekuja kutatuwa tatizo hilo
Soma Zaidi...