Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa

Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa

Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa wakati numepewa dawa uyamwezimmojaNamba ya swali 022

Ni ya kupanda ama kushuka?Namba ya swali 022

Ni ya kupandaNamba ya swali 022

Hakikisha unafata maelekezo vyema. Pia epuka kula vyakula kama vyenye chumvi nyingi, Punguza unywaji wa pombe na sigara kama unatumia, Punguza misongo ya mawazo kama unayo. Pia fanya mazoezi. Kujuwa zaidi kuhusu presha ya kupanda Bofya hapaaNamba ya swali 022

NashukuruNamba ya swali 022

Karibu tenaNamba ya swali 022Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 150


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-