Nguzo za swala ya maiti
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
- Nguzo za Swala ya maiti.
- Swala ya maiti inaswaliwa wima; haina rukuu, sijda wala kikao.
- Nguzo za swala ya maiti ni;
- Nia
- Takbira ya kuhirimia
- Kusoma Suratul-Faatiha.
- Takbira ya Pili.
- Kumswalia Mtume (s.a.w) kama tufanyavyo kwenye Tahiyyatu.
- Takbira ya Tatu.
- Kumuombea dua maiti.
- Takbira ya Nne.
- Kuombea dua waislamu wote, kisha kutoa Salaam
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
๐1 Kitabu cha Afya ๐2 Simulizi za Hadithi Audio ๐3 web hosting ๐4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina ๐5 Kitau cha Fiqh ๐6 Bongolite - Game zone - Play free game
๐1 Kitabu cha Afya ๐2 Simulizi za Hadithi Audio ๐3 web hosting ๐4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina ๐5 Kitau cha Fiqh ๐6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Kwa nini lengo la kutoa zaka halifikiwi na watoaji zaka?
Kwa nini Lengo la Zakat na Sadaqat Halijafikiwa katika Jamii yetu?
Soma Zaidi...Mwenendo wa Mtu aliyetoa Shahada
Muislamu aliyetoa shahada ya kweli hanabudiย kumfanya Mtume (s.
Soma Zaidi...Ni upi umuhimu wa kufunga katika uislamu
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu umuhimu wa kufunga kiroho, kiafya na kijamii.
Soma Zaidi...