Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Rejea Jedwali lifuatalo na pia katika Kitabu cha 2; EDK, uk. 80-87.
Na. |
Mali zinazojuzu kutolewa Zakat |
Nisaab (Kiwango) |
Kiasi (%) |
Muda wa Kutoa |
1. |
Mazao yote ya shambani. |
Wasaq 5 au kg 666 (Wasaq 1 = 133.5kg) |
|
Baada ya mavuno |
2. |
Wanyama wafugwao kwa ajili ya chakula: (a) Ngamia (b) Ng’ombe (c) Mbuzi (d) Kondoo (e) Kondoo au Mbuzi |
Ngamia 5 Ng’ombe 30 Mbuzi 40 Kondoo 40 Kondoo au Mbuzi 40 |
Mbuzi 1 wa mwaka 1 Ndama 1 wa mwaka 1 Mbuzi 1 wa mwaka 1 Kondoo 1 wa mwaka 1 Kondoo au mbuzi 1 wa mwaka 1 |
Baada ya mwaka |
3. |
Dhahabu na Vito |
Gram 82.5 au tola 7.5 |
2.5 % au 1/40 ya thamani ya mali |
Baada ya mwaka |
4. |
Fedha na Vito |
Gram 577.5 au tola 52 |
2.5 % au 1/40 ya thamani ya mali |
Baada ya mwaka |
5. |
Mali ya Biashara |
Sawa na thamani ya Nisaab ya Dhahabu au Fedha. |
2.5 % au 1/40 ya mali |
Baada ya mwaka |
6. |
Fedha taslimu |
Sawa na mali ya Biashara |
2.5 % au 1/40 ya fedha |
Baada ya mwaka |
7. |
Mali ya kuokota au kuchimbuliwa ardhini |
Haina |
20 % au 1/5 ya mali |
Baada ya kuokotwa na kukosa mwenyewe au baada ya kuchimbuliwa. |
Umeionaje Makala hii.. ?
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Uchumi wa uislamu umeweka taratibu mbalimbali katika kuchuma mali.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukupa sifa za imamu wa msikitini anayepasa kuswalisha swala ya jamii.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu umuhimu wa kufunga kiroho, kiafya na kijamii.
Soma Zaidi...Post hii itakujuza maana ya uislamu na nguzo zake.
Soma Zaidi...Hizi ndio haki kuu tano unazopasa kumpatia Muislamu mwenzio.
Soma Zaidi...