Aina za vidonda

Aina za vidonda

Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti.

Aina za vidonda

1. Kuna vidonda visafi ambapo kwa kitaalamu huitwa (clean wound ) hii ni Aina ya vidonda ambavyo having wadudu au bakteria kwa kitaalamu hawa wadudu huitwa pathogens organism.tiba ya vidonda hivi ni kusafisha kila mara na Tabia ya vidonda hivi upona haraka sana kuliko Aina yoyote Ile ya vidonda, kwa hiyo watu wenye vidonda vya Aina hii hawapati sana shida katika kupona kwa sababu ya uharaka wa vidonda hivi kupona.

 

2.Aina nyingine ya vidonda ni vidonda vile ambavyo vina wadudu au bakteria vidonda hivi vidonda mara nyingi upatikana kwenye ajali, watu ambao Upata ajali huwa na vidonda vya Aina hii, vidonda hivi vikitumiwa kwa mda mwafaka upona haraka Ila visipotibiwa kwa mda mwafaka kwa Sababu ya uchafu unaokuwemo kwenye vidonda wadudu uongezeka kwa kiasi kikubwa na hatimaye kidonda uchukua mda mrefu kupona. Kwa hiyo hivi vidonda inabidi vipelekwe hospitalini haraka Ili kuweza kuzuia madhara makubwa yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya kuongezeka kwa wadudu kwenye kidonda.

 

3. Vidonda ambavyo vina kiasi kikubwa Cha wadudu na uchafu vinakuwa mwingi sana, hii ni Aina ya kidonda  ambayo unakuta seli pamoja na tisu vyote vimearibika kwenye sehemu ya kidonda.

Aina hii ya vidonda huitaji uangalifu sana kwa sababu ya hali yake na pia vinapaswa kutibiwa hospitalini kwa mda na mgonjwa anapaswa kupatiwa dawa za kutosha Ili kuponyesha Aina hii ya vidonda.

Aina hii ya vidonda usababisha na ajali au pengine na upungufu wa a kinga mwilini ambao usababisha seli kufa na tisu pia kufa wakati mwingine hivi vidonda vinaweza kuitwa vidonda ndugu kwa hiyo uchukua mda mwingi kupona.

Kwa wagojwa wa Mama hii kwanza wanatakiwa kuhojiwa kujua chanzo Cha kidonda na kwa wale wanaowahudumia wagonjwa wa namna hii wanapaswa kuwa makini iili kuepuka maambukizi ya Moja kwa Moja au ya baadae kwa sababu ya hali ya kidonda, kwa hiyo tunapaswa kuelimisha jamii kuhusu kuwepo kwa vidonda na pia kujua kuwa ni ugonjwa wa kawaida na unaweza kutibika. Na jamii zile ambazo wanaendelea kutibu vidonda hivi nyumbani waache maana vidonda vingine ni vikubwa na vinahitaji uangalizi zaidi.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 5185

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 ai web app     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Zijue kazi za ovari

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai.

Soma Zaidi...
Jinsi ya kujikinga na U.T.I inayijirudia rudia.

Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye.

Soma Zaidi...
Huduma kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi

Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wagonjwa wanaoishi na maambukizi ya virus vya ukimwi wanaweza kupata, huduma hii utolewa hasa kwa wale ambao wamejitokeza kupima afya zao na kujua wazi hali zao na kwa wale wanaofatilia huduma hii wanaweza kuishi vizu

Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATWA NA KWIKWI

Kwikwi sio hatari sana kwa afya, lakini inaweza kuwa hatari zaidi kwa mu aliyefanyiwa upasuaji kwenye tumbo.

Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa aliyepatwa na presha ya kupanda

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kupanda

Soma Zaidi...
Mfuno wa damu na makundi manne ya damu na asili yake nani anayepasa kutoa damu?

Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu.

Soma Zaidi...