Post hii inahusu zaidi njia za kumgundua mgonjwa wa kaswende, njia hizi utumika baada ya kuongea na mgonjwa kuhusu maisha yake hasa kujamiiana na watu mbalimbali.
1. Kwanza kabisa tunaangalia dalili za mgonjwa alizonazo na pia kuongea naye kuhusu wanawake alionao kama ni mwanamme na wanaume alionao kama ni mwanamke hapo tunaweza kuoanisha dalili na history.
2. Pia kupima damu.
Kwatika kupima damu tunaweza kugundua bakteria wanaosababisha kaswende kwenye damu na kuweza kuanzisha matibabu kwa waathirika.
3. Kupima maji maji.
Pia kuna mbinu nyingine ya kupima majimaji hasa hasa kwenye hatua ya kwanza na ya pili kwa kufanya hivyo chancres wadudu wanaoeneza kaswende uonekane kwenye maji maji.
4. Kupiymaji ya kwenye uti wa mgongo ambao kwa kitaalamu huitwa cerebral spinal fluid, kwenye maji maji hayo na penyewe chancres upatikana. Kwa sababu wadudu hawa usamambaa mwilini kwa watoa huduma za afya wawe makini ili kuepuka kuambukizwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili kutokomeza kabisa maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Saratani ya Koo inarejelea Vivimbe vya Saratani vinavyotokea kwenye koo lako (koromeo), sanduku la sauti (larynx) au tonsils.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo VVU huambukizwa
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mfumo wa mwili ambao huhusika na kusafirisha damu ,virutubisho na takamwili.mfumo huu unajumuisha damu,mishipa ya damu na moyo.moyo husukuma damu kupitia mishipa ya damu na kufika maeneo yote ya mwili.
Soma Zaidi...Sty ni uvimbe mwekundu, chungu karibu na ukingo wa kope ambalo linaweza kuonekana kama jipu au chunusi. Sties mara nyingi hujazwa na usaha. Mtindo kawaida huunda nje ya kope lako. Lakini wakati mwingine inaweza kuunda kwenye sehemu ya ndani ya kope lak
Soma Zaidi...Vidonda vya tumbo ni vidonda vilivyo wazi vinavyotokea kwenye utando wa ndani wa umio, tumbo na sehemu ya juu ya utumbo wako. Dalili ya kawaida ya Peptic ulcer ni maumivu ya tumbo. Vidonda vya tumbo ni pamoja na: Vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani
Soma Zaidi...Hili ni swali lililowahi kuulizwa na moja ya wasomaji wetu
Soma Zaidi...