Kama una tatizo la midomo kuchubuka na kuwa myeupe ama kuwa na vidonda. Post hii inakwenda kuangalia swala hili.
Hey habar samahani nimeona Google jinsi ulivyo elezea vitamini B. Mm midomo yangu huu wa chini ina weupe kama imebabuka nakosa confidence kabisa siwez toka bila rangi ya mdomo itakuwa upungufu huo wa vitaminiB?
Haloo, pole sana kwa tatizo hilo. Tatizo hilo linaweza kusababishwa na hali nyingi za kiafya. Kwa mfano:
1. Upungufu wa vitamini. Vitamini C kwa B kwa pamoja huwenda ikawa sababu hiyo. Mfano mzuri ni kwamba endapo utakuwa na vidonda kwenye midomo vitamini hvi vinaweza kuwa sababu.
2. Fangasi, yes inaweza kuwa ni dalili ya fangasi kwenye midomo. Hata hivyo angalia kwanza ulimi kma umebadilika rangi kuwa nyeupe huwenda ni fangasi.
3. Matumizi ya dawa kwa muda mrefu. Huenda ikasababishwa na matumizi ya baadhi ya dawa kwa muda mrefu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake.
Soma Zaidi...Utajifunza chanzo cha vidonda vya tumbo, dalili zake, dawa na matibabu yake pamoja na njia za kujilinda na vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Posti hii inahusisha maambukizi ya virusi vya ukimwi .piaย tutangaliaย njia za kujikinga naย ugonjwa wa UKIMWI
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye.
Soma Zaidi...Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.
Soma Zaidi...Posti hii utokea huduma ya kwanza kwa mtu aliye na shida ya kushindwa kupitisha mkojo kutoka kwenye kibofu Cha mkojo,
Soma Zaidi...Ugonjwa wa pumu ni moja katika magonjwa hatari yanayoweza kutokea kwa ghafla, na endapo itacheleweshwa kudhibitiwa inaweza sababisha athari mbaya zaidi
Soma Zaidi...