Hadathi Kubwa:
Hadath kubwa huwapata wanawake tu wanapokuwa na Hedhi (damu ya mwezi) au Nifasi (damu ya uzazi).
Yafuatayo yameharamishwa kwa wenye hadath kubwa:
(i)Kusali na Kutufu.
(ii)Kukaa Msikitini.
(iii)Kusoma Qurβan, kugusa na kuchukua msahafu (Qur-an)
(iv)Kufunga.
(v)Kufanya kitendo cha ndoa.
(vi)Kutalikiwa (kupewa talaka).
Namna ya kujitwaharisha na hadath ya kati na kati na hadath kubwa ni kukoga kwa maji safi kwa kutekeleza masharti na nguzo za kukoga josho la wajibu.
Masharti ya Kuoga
Masharti ya kuoga ni sawa tu na yale masharti ya udhu ila hapa yanahusu mwili mzima.
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hiibinakwenda kukufundisha mambo ambayo yanaharibu udhu.
Soma Zaidi...Amesema mtume (s.a.w) kuwa Allah (s.w) amesema: kila amali ya mwanaadamu ni kwa ajili yake isipokuwa funga.
Soma Zaidi...Uislamu ndio dini pekee ambayo inatoa ufumbuzi juu ya suala la riba.
Soma Zaidi...