mpenzi wangu nimeshiriki nae tendo la ndoa akiwa siku zake za hatar kwa siku 3 lakin hajashika mimba tatizo linaweza kuwa ni nini?

mpenzi wangu nimeshiriki nae tendo la ndoa akiwa siku zake za hatar kwa siku 3 lakin hajashika mimba tatizo linaweza kuwa ni nini?

Kupata ujauzito hufungamana na mambo mengi ikiwepo afya vya wawili yaani me na mume na mengineyo. Unaweza kushiriki sikuvhatari na usiupate mimba. Postivhii ibakwendavkukufahamisha undani wa jambo hili.

Swali

hellow me napenda kuuliza kitu kimoja mpenzi wangu nimeshiriki nae tendo la ndoa akiwa siku zake za hatar kwa siku 3 lakin hajashika mimba tatizo linaweza kuwa ni nini?

 

Jibu

Kuwa katika siku za hatari pekee hakutoshi kuwa ni sababu pekee ya kupata ujauzito. Sababu nyingine zinahitajika kwa mfano: 

1. Mwanaume anatakiwa atie mbegu nyingi

2. Mwanaume anatakiwa atoe mbegu zenye afya

3. Mwanamke anatakiwa asiwe na maambukizi kwenye mirija ya kupitisha yai

4. Njia ya kupitisha yai isiwe imeziba. 

5. Kiwango cha tindikali katika mwili wa mwanamke kisiwe kikubwa sana. 

6. Mwanamke asiwe anatumia uzazi wa mpango

7. Asiwe na maradhivmengibe yanayoweza kuzuia mimba kama kuwa na mvurugiko wa homoni 

8. Mwanamke asiwe na usugu wa maradhi haya PID na UTI

 

Zipo sababu nyingi sana.  Kwa ufupi  nimekuoa hizo.  Hivyo kabla ya kulaumiana kuwa mmoja wenu ana shida ya kizazi ni vyema wote kwenda kupima kujuwa nini tatizo na kipi kifanyike. 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 3021

Share On:

Share follows: 42 | Unique share links followed: 1
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 web hosting     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

UTI na ujauzito

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI kwa wajawazito

Soma Zaidi...
Njia za uzazi wa mpango

Posti hii inahusu zaidi kuhusu njia za uzazi wa mpango, uzazi wa mpango ni njia za kupanga uzazi Ili kupata idadi ya watoto unaohitaji

Soma Zaidi...
Sifa za siku za kupata mimba

Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba

Soma Zaidi...
Je inaweza ukaingia period wakati unaujauzito?

Ukiwa mjamzito unaweza kushuhudia kutokwa na damu. Je damu hii ni ya hedhi?

Soma Zaidi...