ATHARI ZA MINYOO

ATHARI ZA KUTOKUTIBU MINYOO
Kukaa na minyoo na kutoitibu kwa muda mrefu kunaweza kusababisha madhara mengi hususani kwenye ini na maeneo mengine ya mfumo wa kumeng’enya chakula. Kama ulivyoona kwenye dalili za minyoo, hivyo minyoo ikiachwa bila ya kutibia miongoni mwa athari zake ni kuendelea kwa dalili zile na kuwa ni ugunjwa. Miongoni mwa athari hizo ni:-
1.kupata magonjwa yanayohusiana na ini pamoja na nyongo kama necrosis, gallstone (kuwa na vijiwe kwenye mrija wa nyongo), kuziba kwa mrija wa nyongo, biliar colic, cholecystitis, urticaria
2.Kutapika na kutapika damu
3.Maumivu ya tumbo
4.Kupoteza damu
5.Mwili kukosa virutubisho kutoka kwenye chakula
6.Kichefuchefu
7.Kupunguwa uzito na kukonda
8.Ukuaji hafifu kwa watoto
9.Matatizo ya akili
10.Kuharisha n.k