Fangasi watambulikao kama invasive candidiasis
Hawa huweza kuingia kwenye mfumo wa damu na kuenda maeneo mengine nyeti sana ya mwili.
3. Fangasi watambulikao kama invasive candidiasis.
Hawa huweza kuingia kwenye mfumo wa damu na kuenda maeneo mengine nyeti sana ya mwili. Kwa mfano kwenye figo, moyo na ubongo machi, mifupa na viungia. Fangasi hawa wakiingia maeneo haya wanakuwa ni hatari sana kwa afya ha mtu.
Dalili za invasive candidiasis
Watu wenye fangasi hawa wanaonesha dalili ambao ni za maradhi mengine, hivyo kufanya vigumu kugundulika. Ijapokuwa kuna dalili ambazo ni za kawaida kama vile, kuhisi baridi, homa ambapo mgonjwa hawezi pata nafuu hata akitumia dawa.
Watu walio hatarini
- Watu ambao wapo ICU kwa muda mrefu
- Watu wenye mfumo dhaifu wa kinga
- Watu waliofanyiwa upasuaji haswa haswa uliohusisha tumbo
- Watu ambao wametumia antibiotics kwa wingi hivi karibuni
- Watu waliotumia chakula kwa kutumia mirija
- Watu wenye matatizo kwenye figo au hemodialysis
- Watu wenye kisukari
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 ai web app 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Jinsi ya Kumfurahisha Mwenza Wako
Mahusiano yenye furaha hayajitokezi kwa bahati; yanajengwa kupitia juhudi za makusudi. Posti hii inatoa mwongozo wa mbinu rahisi lakini zenye nguvu za kumfanya mwenza wako ajihisi anathaminiwa, anapendwa, na anafurahia maisha ya pamoja nawe.
Soma Zaidi...ninaisi kma kunakitu kwenye koo alafu kuna ali ya weupe kwenye ulimi na Mashavu kwa ndan
Weupe kwenye ulimi unaweza kuwa ni hali ya kawaida. Weupe huu ukichanganyika na utandu huwenda ikaashiria uwepo wa hali fulani za kiafya.
Soma Zaidi...Dalili za ugonjwa wa fungusi uken
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa fungusi uken, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu za Siri ambao huwa na dalili kama zifuatazo.
Soma Zaidi...Jinsi ya kusafisha mfuko wa uzazi baada ya mimba kuharibika.
Katika jamii, mara nyingi tunasikia kuhusu "kusafisha mfuko wa uzazi" baada ya mimba kuharibika au baada ya kujifungua. Ni muhimu kufahamu kuwa, kwa mujibu wa sayansi ya tiba, mfuko wa uzazi (uterasi) ni kiungo chenye uwezo wa kipekee wa kujisafisha chenyewe kupitia mchakato wa kusinyaa na kutoa damu na tishu zilizobaki (lochia). Makala haya yanalenga kutoa elimu sahihi kuhusu jinsi ya kusaidia mwili wako katika kipindi hiki cha uponyaji na wakati gani unapaswa kutafuta msaada wa kitabibu.
Soma Zaidi...Namna Ugonjwa wa UKIMWI unavyoambukizwa.
UKIMWI (acquired immunodeficiency syndrome) ni hali ya kudumu, inayoweza kutishia maisha inayosababishwa na virusi vya ukimwi (VVU) Kwa kuharibu mfumo wako wa kinga, VVU huingilia uwezo wa mwili wako wa kupambana na viumbe vinavyosababisha magonjwa. Inawe
Soma Zaidi...