Miiko au Mambo yanayoharibu/kubatilisha funga

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. Kula au kunywa chochote kwa makusudi.
  2. Kujitapisha kwa makusudi ukiwa umefunga.
  3. Kupatwa na Hedhi au Nifasi kabla ya kuzama kwa Jua.
  4. Kunuia kula au kunywa na hali umefunga.
  5. Kufanya tendo la jimai (tendo la ndoa) kwa namna yeyote ile hali umefunga.
  6. Kujitoa manii kwa makusudi mchana wa funga.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Fiqh Main: Dini File: Download PDF Views 1594

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 Dua za Mitume na Manabii    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana: