picha

Mambo yanayodhaniwa kuwa yanaharibu funga lakini hayaharibu

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. Kula au kunywa bila kukusudia – kwa kusahau au kutwezwa nguvu.
  2. Kuoga wakati umefunga.
  3. Kutokwa na manii bila kukusudia – kwa kuota ndoto au namna nyingine.
  4. Kuamka na Janaba, Damu ya Hedhi au Nifasi ukiwa umefunga. 
  5. Kubusiana na kukumbatiana mume na mke wakiwa wamefunga.
  6. Kupiga mswaki, kusukutua au kupandisha maji puani.
  7. Kupaka wanja, manukato, mafuta, kuvukiza ubani au dawa ya macho.
  8. Kumeza usichoweza kujizuia nacho kama mate, kikohozi, kuingiwa na mdudu (kitu) ghafla hadi kooni, vumbi, n.k.
  9. Kupiga sindano isiyoongeza chakula mwilini kama itahitajika.
  10.  Kuumika au kutoa damu kwa mujibu wa Hadith;

Amehadithia Ibn Abbas (r.a) kwamba Mtume (s.a.w) aliumikwa akiwa katika ‘Ihram’ na pia akiwa amefunga.”

(Ameipokea Bukhari)

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2022/01/06/Thursday - 01:46:10 am Topic: Fiqh Main: Dini File: Download PDF Views 2259

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Dua za Mitume na Manabii    👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana: