Huduma kwa mtoto mdogo anayeumwa
Mtoto mdogo ni mtoto chini ya miaka mitano, yaan kuanzia pale anapozaliwa mpaka anapafikisha miaka mitano
Huduma kwa mtoto mdogo mgonjwa
1. Kunifanyia usafi
2. Kuzuia kuongezeka kwa Homa
3. Kuangalia kama Kuna maambukizi yoyote
4 kumoatia chanjo
5. Kuhakikisha kwamba uzito haupunguo
Yafuatayo ni maginjwa yanayowapata watoto
1. Kuharisha
2. Kuishiwa damu
3. Utapia mlo
4. Maambukizi kwenye macho
5. Degedege
Mambo ya kuzingatia Ili kuzuia maginjwa kwa watoto
1. Kuhudhulia kliniki kila mwezi
2. Kuhakikisha kuwa mtoto amepata chanjo
3. Kumoatia chakula chenye mlo kamili
4. Kumpa mtoto mda mzuri wa kunyonya
Mtoto chini ya miaka mitano anapaswa kuangalia kwa karibu zaidi Ili tuweze kuepuka maginjwa na vifo vya watoto.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
fahamu vitamini A na kazi zake
Je na wewe i katika wale ambaowanahitaji kujuwa kuhusu Vitamini A, kazi zake na vyakula vya vitamini A. post hii inakwenda kukujuza zaidi pamoja na historia ya vitamini A.
Soma Zaidi...Upungufu wa vitamin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ANAYETOKWA NA DAMU YA PUA
Kama mtu anatokwa na damu za pua, basi juwa kuwa anahitaji huduma ya kwanza.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula sumu
Post hii inahusu zaidi kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula chakula chenye sumu, kula sumu ni kitendo Cha kula kitu chochote kama dawa,pombe, kemikali na chakula kichafu.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPANDWA NA PRESHA
Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...