Mambo yanayochangia Ili dawa kuingia kwenye damu vizuri

Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia Ili dawa iingie vizuri kwenye damu, na mambo yanayoweza kusababisha dawa kuingia au kutoingia vizuri kwenye damu.

Mambo yanayosababisha dawa kuingia vizuri kwenye damu.

1. Njia inayopitisha dawa, kama dawa Inapitia kwenye  mishipa itaingia yote kwenye damu kuliko ikipitia kwenye nyama ya mwili

 

2.Dozi, ikiwa kubwa itasababisha dawa nyingi kuingia kwenye damu kuliko kama dozi ni ndogo.

 

3. Kiwango Cha dawa inavyotolewa kwenye mwili,kama mtu anakuwa vyakula vya kumaliza dawa nguvu,dawa itaondoka mapema kwenye mwili kuliko yule ambaye hatumii vyakula hivyo

 

4. Dawa inayopitia mdomoni na kwenye nyama ya mwili haifiki yote kwenye damu, nyingine hutolewa na kinyesi na nyingine na mkojo

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Je umeipenda post hii ?

Ndio            Hapana            Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Huduma Main: Afya File: Download PDF Views 1087

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Simulizi za Hadithi Audio    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Madhara ya ulevi

Poshi hii inahusu madhara ya ulevi.Utegemezi wa pombe kwa kawaida humaanisha kuwa mtu anatumia kiasi kikubwa cha pombe na kuna masuala kuhusu kupoteza udhibiti.

Soma Zaidi...
Kiasi Cha mkojo kisichokuwa cha kawaida.

Hii posti inahusu zaidi sifa za mkojo usio wa kawaida,ukiona mkojo wa namna hii unapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu au vipimo vya zaidi.

Soma Zaidi...
Maji

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za maji mwilini

Soma Zaidi...
Hatua za kufuata baada ya kuhisi kuwa umeambukizwa na virusi vya HIV

Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe anapohisi ameambukizwa na virus vya ukimwi kwa hiyo wanapaswa kufanya yafuatayo.

Soma Zaidi...
Huduma ya kwanza kwa aliyeungua moto

Post hii inahusu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto, kuingia moto ni kitendo Cha kubabuka ngozi ya juu inaweza kuwa kwa kemikali,umeme na just,

Soma Zaidi...
Matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari

Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari.

Soma Zaidi...
Malengo ya kutibu ukoma

Posti hii inahusu zaidi malengo ya kutibu ukoma, ni malengo ambayo yamewekwa na wizara ya afya ili kuweza kutokomeza ukoma kwenye jamii

Soma Zaidi...
Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeshambuliwa na moyo na kushindwa kupumua

Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,

Soma Zaidi...
Yajue malengo ya kusafisha vidonda.

Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.

Soma Zaidi...
Zijue sababu za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo.

Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni

Soma Zaidi...