Zijue kazi za Figo mwilini
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa Figo mwilini, Figo ni ogani ambayo kazi yake ni kuchuja sumu mwilini.
Kazi muhimu za Figo
1. Usaidia kuondoa uchafu mwilini
Kati ya ogani zote Figo ndiyo ogani ya pekee ambayo kazi yake kuu ni kutoa uchafu mwilini hasa kuchuja damu na kuzalisha mkojo,
2. Kuhakikisha kuwa kiwango Cha damu mwilini Kiko sawa kwa kupunguza maji kama Kuna maji mengi kwenye damu na kuongeza maji kama kwenye damu Kuna maji kidogo
3. Kuhakikisha Kuna kiwango Cha kutosha Cha madini kwenye Figo kama vile sodium,patasiumu,kalsium, cloride na mengineyo yabayohitajika .
4. Kuhakikisha PH ya damu Iko vizuri
Figo uhakikisha kuwa PH Iko vizuri kwa kuzalisha kiasi kingi Cha H+ kwa kiwango Cha kutosha.
5. Huzalisha vitamini D vya kutosha, kazi ya Figo ni kuzalisha vitamini D kwenye mwili ambavyo ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili.
6. Huzalisha seli nyekundu za damu, Figo husaidia kuzalisha seli nyekundu ambazo usaidia katika kusfilisha gasi ya oksijeni kwenye mwili.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 ai web app 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Faida za kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Kazi ya chanjo ya Surua
Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya Surua kwa watoto, ni Aina ya chanjo ambayo utolewa kwa watoto na kufanya kazi mbalimbali mwilini ambazo ni kumkinga mtoto asipatwe na magonjwa.
Soma Zaidi...Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Visababishi vya magonjwa.
Posti huu inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya magonjwa, tunajua wazi kuwa ugonjwa ni hali ya kutokuwa kawaida kwa ogani mbalimbali kwenye mwili na kusababisha mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.
Soma Zaidi...