Posti hii inahusu zaidi faida ya chanjo, tunajua wazi kuwa chanjo Ina faida kubwa kwenye mwili wa binadamu na vile vile kwenye jamii kama tutakavyoona hapo chini.
Faida za chanjo.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa chanjo utokana na wadudu au bakteria wanaosababisha ugonjwa huo na bakteria hao hawawezi kuleta madhara kwenye mwili wa binadamu na uweza kuleta kinga kwenye mwili wa binadamu, kwa hiyo tunaweza kupata faida za chanjo kama ifuatavyo.
2.Chanjo usaidia kuzuia Magonjwa mbalimbali.
Kutokana na chanjo tunaweza kuzuia magonjwa mbalimbali kama vile kifua kikuu,uti wa mgongo, kuharisha, kupooza, pepopunda, kifadulo na Surua haya ni magonjwa ambayo yalikuwepo kwa mda mrefu na sasa yamepungua kwa kiasi kwa hiyo tunapaswa kuendelea kupata chanjo ili kuweza kuepuka Magonjwa mbalimbali kwenye jamii.
3.Chanjo pia zimepungua Magonjwa ya ulemavu.
Tunajua wazi kuwa Magonjwa mengi ya ulemavu yamepungua kutokana na kuwepo kwa chanjo kwa mfano Magonjwa ya kupooza kimepungua sana sasa hivi kwenye jamii kutokana na kuwepo kwa chanjo. Kwa hiyo tunapaswa kuwahimiza jamii ili waweze kuwapeleka watoto kupata chanjo.
4.Chanjo pia zimesaidia kupata ajira.
Tunajua kuwa kuna watu ambao wamepata ajira kutokana na kuwepo kwa chanjo kwa mfano manes wengi wameweza kupata ajira kutokana na kuwepo kwa chanjo kwa hiyo wameweza kuendesha familia zao.
5.Kwa hiyo tunapaswa kuwahimiza jamii nzima ili waweze kuona umuhimu wa chanjo na kuweza kuwapeleka watoto wao ili kuepuka Magonjwa mbalimbali na kuepuka madhara kwenye jamii.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe anapohisi ameambukizwa na virus vya ukimwi kwa hiyo wanapaswa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Rangi za mkojo na maana zake na mkojo mchafu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamini
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi malengo ya kutibu ukoma, ni malengo ambayo yamewekwa na wizara ya afya ili kuweza kutokomeza ukoma kwenye jamii
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza jinsi ya kumfanyia huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa
Soma Zaidi...