Nazi ni katika matunda bora sana kiafya, Soma faida zake kwa afya yako
18.Nazi (coconut oil)
Kunatafiti zaidi ya 1500 zinathibitisha kuwa nazi ni katika matunda yenye afya kuliko matunda yote. Nazi ni katika vyakula vya fati na hutambulika kama medium-chain fatty acids (MCFAs). Ambapo mafuta ya nazi yapo katika aina tatu za fatty asidi ambazo ni ï‚·Caprylic acid, Lauric acid na Capric acid. Asilimia 62 za mafuta ya nazi yametokana na aina hizi tatu.
Tafiti zinaonesha kuwa mafuta yaliyopo kwenye nazi ni salama kabisa na pia mwili unachukuwa muda mchache kuyameng’enya kuliko mafuta yanayopatikana kwenye minea mingine. Tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya nazi yanapitia hatua kuu tatu tu katika kumeng’enywa wakati huo mafuta yatokayo kwenye mimea mingine yanapitia hatua 26 mpaka kumeng’enywa.
Ulaji wa nazi unasaidia katika kutibu afya ya ubongo pamoja na kuzuia ugonjwa kusahau (Alzheimer’s Disease). Tafiti zinaonesha kuwa ulaji wa aina hizi tatui za mafuta (fatty acid) hupelekea ini kutengeneza ketones. Ketones husaidia katika kuupa ubongo nguvu na afya na uwezo wa kufanya kazi vyema. Pia tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya nazi hulinda mwili kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
Nazi hutibu UTI, ini na mashambulio kwenye figo. Tafiti zinaonesha lkuwa maji ya nazi yanaweza kutumika kuondoa vijiwe kwenye figo (kidney stones). Pia mafuta ya nazi yanaweza kuondoa na kuuwa bakteria waliop kwenye njia ya mkojo. Tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa mafuta ya nazi yanasaidia katika kulinda afya ya ini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Je unajuwa kuwa majimaji yanayotoka ukeni yanatueleza mengi kuhusu afya yako, rangi za majimaji ya ukeni na damu ya hedhi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya fati na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Utafahamu faida za vitamini C mwilini pamoja na kujuwa umuhimu wa vitamini C
Soma Zaidi...Utajifunza vyakula vyenye madini kwa wingi, kazi za madini mwilini na athari za upungufu wake
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako
Soma Zaidi...tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine)
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula ambavyo vinaweza kupunguza presha ya kupanda
Soma Zaidi...