6.Embe (mango). Tunda hili ni chanzo kizuri sana cha vitamini c. Pia embe lina kambakamba fiber ambazo zina faida nyingi za kiafya kama tulivyoona hapo juu. Embe pia lina antioxidanta na ant-inflammatory ambazo kwa pamoja husaidia katika kuukinga mwili na maradhi ya kisukari.