
Faida za kiafya za kula tende
- tende zina virutubisho kama protini, fati, wanga, sukari, vitamini k, B na A. pia tende zina madini ya chuma, calcium, phosphorus, sodium, magnesium, sulfur na zinc
- Tende ni chakula kizuri kinachoweza kukupa nishati ya kutosha na kwa haraka sana
- Tende husaidia katika kuborsha na kuimarisha afya ya ubongo, na kutunza kumbukumba
- Tende husaidia katika kuondoa tatizo la kukosa choo
- Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia katika kupunguza tatizo la ugonjwa wa anaemia (upungufu wa oksijeni mwilini)
- Hulinda moyo dhidi ya maradhi
- Ni chakula kizuri kwa wasiopata hamu ya kushiriki tendo la ndoa
- Husaidia kuboresha afya ya macho hasa katika kusaidia kuona wakati wa usiku
- Husaidia katika kutibu tatizo la kuharisha
- Huboresha afya ya mifupa
- Hulinda mwili dhidi ya saratani
- Huongeza uzito