Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Faida za viazi mbatata
1. Viazi mbatata vina virutubisho Kama protini, fati, wanga, vitamini B5 na C pia madini ya potassium, magnesium na shaba
2. Huboresha ufanyaji kazi wa ubongo 3. Huboresha hedhi
3. Hushusha sukari kwenye damu
4. Husaidia katika kupambana na saratani
5. Huboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
6. Husaidia katika kupunguza uzito
7. Husaidia mwili kupambana na maambukizi ya mara kwa mara
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi kuu tatu za vitamini C
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wal
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula korosho
Soma Zaidi...