
Faida za kiafya zakula Spinachi
- mboga hii ina virutubisho kama vitamini A, C, na K, pia madini ya chuma sodium, calcium and mangenesium. Pia mboga hii ina fati na wanga.
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Huboresha afya na macho
- Huboresha afya ya mifupa
- Hushusha presha ya damu (hypertension)
- Husaidia mwili kurelas
- Husaidia katika mapambano dhidi ya saratani
- Ni nzuri kwa afya ya ngozi
- Hulinda mwili dhidi ya anaemia
- Huboresha mfumo wa kinga