Faida za kiafya za nyanya

  1. ni chanzo kizuri cha virutibisho kama protini, sukari, fat na pia nyanya zinatupatia maji
  2. Pia ni chanzo cha vitamini C, K1 na B9. Pia tunapata madini ya potassium
  3. Ni nzuri kwa afya ya moyo
  4. Huzuia kupata saratani
  5. Ni nzuri kwa fya ya ngozi
  6. Ni nzuri kwa afya ya macho
  7. Huzuia tatizo la kukosa choo
  8. Ni nzuri kwa wenye kisukari