
Faida za kiafya za nazi
- nazi ina fati iliyo salama kwa afya (fatty acid)
- Husaidia katika kuimarisha na kuboresha afya ya moyo
- Husaidia katika uunguzwaji wa mafuta mwilini
- Hupunguza njaa
- Hupunguza kifafa
- Huongeza cholesterol zilizo nzuri
- Hulinda afya ya ngozi, nywele na meno
- Huimarisha afya ya ubongo
- Hupunguza mafuta mabaya kwenye tumbo (kitambi)