
Faida za mbegu za papai
Mbegu za papai mara nyingi huliwa baada ya kukaushwa na kusagwa unga. Pia unaweza kuzikaanga kidogo ama kuzichemsha.
- husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi vyema
- Husaidia kuzuia kupata saratani
- Hulinda figo kufanya kazi vyema
- Husaidia mwili katika kupambana na vijidudu vya maradhi
- Husaidia kwa wenye kisukari
- Husaidia katika kuondosha sumu za kemikali mwilini
- Mbegu za papai zina virutubisho mbalimbali