
Faida za kiafya za mbegu za mronge (moringa)
- mbegu za mronge zina virutubisho kama vitamini A, B na C. Pia zina madini kama madini ya calcium, chuma na pia kuna fata kama amino acid.
- Husaidia katika kupata usingizi mwororo
- Husaidia katika kuondoa tatizo la kukosa choo
- Husaidia katika kuthibiti kiwango cha sukari kwenye damu
- Ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma
- Husaidia katika kuondoa tatizo la kupata maradhi ya anaemia yanayopelekea upungufu wa hewa ya oksijeni mwilini
- Hupunguza maumivu ya viungo
- Husaidia katika kuuwa seli za saratani mwilini.
- Husaidia kuboresha afya ya ngozi
- husaidia kulinda afya ya moyo na mishipa ya damu.
- Husaidia katika kulinda afya ya ini