
faida za kiafya za kula mahindi
- mahindi yana virutubisho kama protini, wanga, madini ya chuma, vitamini B1, B5, B12, na vitamini C
- Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
- Husaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya anaemia
- Ni chakula kinachoipa miili yetu nguvu
- Husaidia katia kuongeza uzito
- Husaidia katika kushusha kiwango cha sukari kwenye damu
- Husaidia kwa afya ya mama mjamzito na mtoto aliyepo tumboni, pia husaidia katika kujifungua salama
- Husaidia katika kuboresha afya ya ngozi