
Faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere mbaazi na njugumawe
- Tunapata virutubisho kama protini, vitamini B, A na K madini ya shaba, chuma, na manganese.
- Husaidia kushusha sukari na kuboresha kiwango cha insulini
- Hupunguza uwezekano wa kupata kisukari
- Hupunguza cholesterol mbaya mwilini
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Husaidia hatari ya kupata saratani
- Hupunguza uwezekano wa kupata presha
- Huboresha afya ya mifupa