
Faida za kiafya za kula komamanga
- komamanga lina virutubisho kama A, C, K na E.
- Hulinda mili dhidi ya kemikali
- Huzuia damu kutokuganda kwenye mishipa ya damu na moyo
- Huboresha afya ya moyo na mfumo wa mzunguruko wa damu
- Komamanga husaidia kupunguza tatizo la nguvu za kiume
- Husaidia katika harakati za kupambana na saratani
- Husaidia katika afya ya ubongo hasa katika utunzaji wa kumbukumbu
- Hushusha presha ya damu
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Hupunguza stress na misongo ya mawazo