
Faida za kiafya za kula karanga
- karanga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini B1, B2, B6, madini ya calcium, phosphorus, magnesium na sodium
- Husaidia katika kudhibiti kisukari
- Husaidia kuzuia saratani
- Husaidia katika kutunza kumbukumbu na kuboresha afya ya ubongo
- Huzuia unyonyokaji ama ukatikaji wa nywele
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Husaidia katika ukuaji mzuri wa watoto
- Huboresha afya ya ngozi
- Ni nzuri kwa afya ya moyo