
Faida za Embe
- huzuia tatizo la kukosa choo kikubwa
- Huimarisha mfumo wa king
- Embe ni zuri kwa afya ya macho
- Hupunguza cholesterol mbaya
- Huboresha muonekano wa ngozi na kuifanya iwe na afya njema
- Embe ni zuri hata kwa wenyye kisukari
- Husaidia katika kupunguza uzito