
Faida za kiafya za kunywa chai
- hupunguza hatari ya kupata shambulizi la moyo na strike
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Huimarisha na kuboresha afya ya mifupa
- Huboresha afya ya meno
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Husaidia katika mapambano ya saratano
- Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula