
Faida za kiafya za kula maboga
- boga lina virutubisho kama vitamini A, C, E na B. pia kuna madini ya chuma, potassium na manganessium. Pia boga lini protini na fati.
- Boga lin antioxidanti ambazo huondosha sumu za vyakula na kemikali mwilini
- Boga husaidia kuimarisha na kuboresha mfumo wa kinga
- Husaidia kwa afya ya macho
- Husaidia kupunguza uzito
- Hupunguza athari ya kupata saratani
- Husaidia katika kuimarisha afya ya moyo
- Boga husaidia kuboresha afya ya ngozi
- Hupunguza kuganda kwa choo